Baadhi ya madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliomaliza muda wao wa kuhudumu katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, wamefanikiwa kutetea nafasi zao baada ya kushinda kura za maoni za chama hicho zilizofanyika hivi karibuni.
MADIWANI WA CCM WALIOMALIZA MUDA WAO WATETEA NAFASI ZAO KURA ZA MAONI
0
August 07, 2025






