Baadhi ya Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakihudumu katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na waliotamani kurejea kwa muhula mwingine kupitia chama hicho, wamejikuta wakiondolewa katika mchakato wa awali baada ya kushindwa kwenye kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni.
BAADHI YA MADIWANI WALIOMALIZA MUHULA WAO WAPIGWA KUMBO KURA ZA MAONI CCM
0
August 07, 2025







