MA-DC WILAYA ZA SIHA, MOSHI NA HAI, WAKABIDHIWA MAGARI MAPYA

MOSHI.

Wakuu wa Wilaya za Siha, Moshi Mjini na Hai, mkoani Kilimanjaro, wamekabidhiwa magari mapya matatu yenye thamani ya shilingi milioni 750, kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa utendaji kazi na kuimarisha utoaji huduma kwa wananchi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti baada ya kukabidhiwa magari hayo baadhi ya Wakuu wa Wilaya waliopokea magari hayo Dkt. Christopher Timbuka mkuu wa wilaya ya Siha, Mkuu wa wilaya ya moshi Godfrey Mnzava na mkuu wa wilaya ya Hai Haasan Bomboko, walisema hatua hiyo ni chachu ya kuimarisha utendaji na kuwawezesha kuwafikia wananchi kwa haraka zaidi.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.