KIMEI KINARA WA KUHOJI NA KUCHANGIA BUNGENI


Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Stephen Kimei ametajwa kuwa kinara wa kuzungumzia mahitaji ya wananchi kwa kuwa miongoni mwa wabunge vinara wa kusema, kuchangia au kuhoji katika kila kikao cha Bunge akiwa amechangia mara 49 na kuuliza maswali 110 kwa mujibu wa tovuti ya Bunge la Tanzania. 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.