Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe; Hamza S. Johari amehudhuria hafla ya kuapishwa kwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma, Januari 22, 2025.
Mhe; Jaji Dk. Deo J. Nangela, akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Mhe; Jaji Latifa Alhinai Mansoor, akila kiapo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Januari 22, 2025 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Januari, 22, 2025.
Majaji waliopishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ni Mhe; Jaji George Mcheche Masaju, Mhe. Jaji Dk. Ubera John Agatho, Mhe. Jaji. Dk. Deo John Nangela, na Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.





