MOSHI-KILIMANJARO
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Chama cha mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Mjini Theresia Komba, akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Frida Kaaya, kuomba ridhaa ya Chama kuwania ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini mkoa wa Kilimanjaro.