HABARI
PICHA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi
28, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus
Kambaga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dk. Suzan Kaganda (kulia)
kwenye ofisi ndogo ya Waziri Mkuu iliyoko Magomeni Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dk. Suzan Kaganda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe; Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambaga mara baada ya kuwasili ofisi ndogo ya Waziri Mkuu iliyoko Magomeni Jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dk. Suzan Kagandakushoto na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambaga.