HABARI PICHA ; TUKIO LA KUAPISHWA MKUU WA WILAYA YA MOSHI GODFREY ELIAKIMU MZAVA

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Eliakimu Mzava, akila kiapo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, tukio ambalo limefanyika Januari 27,2025  ukumbi wa mikutano wa ofsi ya mkuu wa mkoa huo.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akisaini kiapo.

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Eliakimu Mzava, akisaini mara baada ya kula kiapo.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Nurdin Babu, akimpongeza Mkuu wa Wialaya ya Mosho
i Godfrey Eliakimu Mzava.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, akimkabidi Katiba ya Nchi pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2025 Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Eliakimu Mzava, baada ya tukio la kumuapisha.

Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Faraji Swai, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manisopaa ya Moshi Mhandisi Zuberi Abdallah Kidumo, Katibu wa CCM Moshi Mjini Frida Kaaya, Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya  Issah Bulilo, Katibu wa Wazazi Moshi Mjini Hirari Kipingi, wakiwa katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji (kulia) akiteta jambo na viongozi wa chama na serikali

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mhandisi Zuberi Abdallah Kidumo, akisalimia na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, nje ya ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mara baaya ya kushiriki kuapishwa wa Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Eliakimu Mzava.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, akisalimia na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Faraji Swai.
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manisopaa ya Moshi Mhandisi Zuberi Abdallah Kidumo  wakijadiliana  jambo na Katibu wa CCM Moshi Mjini Frida Kaaya nje ya ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya tukio la kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi Godfrey Eliakimu Mzava lililofanyika Januaria 27, 2025.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Faraji Swai, akiwa na Mwenyekiti wa Vijana Mstaafu Moshi Mjini ambaye pia kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya  Issah Bulilo.

 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Mhandisi Zuberi Abdallah Kidumo, akimweleza jambo Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini Frida Kaaya.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.