DODOMA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza S. Johari (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (kushoto) wakifuatilia kikao cha kwanza cha Mkutano wa kumi na nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameshiriki kikao hicho leo Januari, 28 2025 Bungeni Jijini, Dodoma.