Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kimataifa cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro kilichopo Gereza Kuu la Karanga mjini Moshi, baada ya kutembelea banda hilo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika Wil;aya ya Moshi kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).
WATUMISHI WA KIWANDA CHA VIATU VYA NGOZI MOSHI, WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI.
0
May 01, 2025














