Wafanyakazi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Utunzaji wa Mazingira Moshi (MUWSA), wakiongozwa na Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) Flora Nguma wamejitokeza kwa wingi kuonesha mshikamano wao katika kutambua mchango mkubwa wanaoutoa kwa jamii.
WATUMISHI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA MOSHI (MUWSA)WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI-2025
0
May 01, 2025











